Baada ya gari hilo kumchukua haikujulikana alikopelekwa lakini halikuondoka peke yake kituoni hapo, gari lililoongoza msafara huo lilikua gari aina ya Range Rover linalomilikiwa na Mwenyekiti huyo wa Yanga.
safara huo ulikwenda moja kwa moja kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Muhimbili Dar es salaam ambako watu mbalimbali wanaosumbuliwa na moyo hupata matibabu
Hii picha hapa chini ni gari hilo aina ya Range Rover likiwa nje ya Taasisi hiyo ya moyo

No comments:
Post a Comment