Binti akivamia jukwaa baada ya kupiga urabu wa kutosha.
Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita katika ukumbi wa Railway Club
ambako paparazi wetu alimshuhudia binti huyo aliyefahamika kwa jina moja
la Fatma, akianza kubadilika taratibu kadiri alivyokuwa akipata
kiburudisho chake kilichokuwa katika vipakti vya plastiki
Akizidi kusumbua jukwaa.
Licha ya kuwakumbatia, pia msichana huyo alivuruga shoo hiyo baada ya
kukanyaga nyaya zinazounganisha vyombo vya muziki vya bendi hiyo na
kusababisha umeme kuzimika jukwaani, hivyo kusababisha onyesho kusimama
kabla ya mafundi mitambo kurekebisha hitilafu
No comments:
Post a Comment