Siwema ameliambia Wikienda kuwa hawezi kuapa kwamba hatakaa atumbukie
tena kwenye penzi la msanii kwa kuwa hakuna anayejua huko mbeleni
ataangukia kwa nani.“Siwezi kusema kuwa Nay amenikatisha tamaa au sitaingia tena kwenye penzi la staa kwa sababu naweza kuapa halafu ikawa sivyo,” alisema Siwema
No comments:
Post a Comment