Tukio hilo lilijiri mjini Iringa kwenye Uwanja wa Samora kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo awali msichana huyo alionekana akicheza kihasara kwa
kujigalagaza chini na mzuka ulipomuishia, alijikokota hadi pembeni akiwa hana nguvu, kitendo kilichowafanya wanaume wasio wastaarabu kumzingira.
Walinzi wakimsaidia mrembo aliyenusurika kubakwa.
Hata hivyo, walinzi waliokuwa eneo hilo walitumia nguvu ya ziada kumuokoa mrembo huyo kutoka kwa midume hiyo iliyokuwa imepania kumkomesha.
No comments:
Post a Comment