
Mwanamuziki
makubwa hapa Afrika Mashariki, Nyota Ndogo kutoka nchini Kenya
amejikuta katika wakati mugumu baada ya kugundua kuwa amerekodiwa video
kwa siri wakati yupo chumbani anapaka mafuta huku akiwa MTUPU. Hii
ilitokea baadaa kumaliza KUPAFOMU na kupelekwa CHANGING ROOM ambako ndiko video hii ilichukuliwa kwa siri.
Soma hapa alichoandika kwenye ukurasa wake wa FACEBOOK
No comments:
Post a Comment