Kabla ya tukio kubwa la #EATVAwards jana usiku, msanii AT aliahidi kuwa kama Kiba angeshinda tuzo basi kwa furaha angekojoa kitandani. Baada ya tuzo hizo na Kiba kulamba tuzo 3. AT ametimiza ahadi hiyo na kutupia picha insta. Read more
No comments:
Post a Comment