
February 18 2017 uwanja wa Taifa Dar es Salaam timu ya Dar es Salaam Young Africans ilicheza mchezo wake wa marudiano wa Club Bingwa Afrika dhidi ya N’gaya Club, baada ya mchezo wa kwanza uliyocheza Comoro kumalizika kwa Yanga kupata ushindi wa 5-1, leo Yanga wamelazimishwa sare ya 1-1.
No comments:
Post a Comment