Idara ya uhamiaji leo February 14 2017 imetangaza kumuita Mfanyabiashara maarufu Yusuph Manji kwa makosa ya kuajiri Raia wa nje ya Tanzania na kufanya kazi kwenye kampuni zake bila vibali, taarifa kamili iko kwenye hii video hapa chini Read more
No comments:
Post a Comment